Wananchi wakimshangilia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipohutubia mkutano wa kampeni za CCM kwenye uwanja wa Polisi Longido mkoani Arusha 

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa kampeni za CCM kwenye uwanja wa Polisi Longido mkoani Arusha, Septemba 3, 2020

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza katika mkutano wa kampeni za CCM kwenye uwanja wa Polisi, Longido,

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ilani ya CCM ya. 2020-2025 Mgombea Ubunge wa jimbo la Longido, Dkt. Stephen Kiluswa katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Polisi, Longido

 

(Picha Ofisi ya Waziri Mkuu)