Home Mchanganyiko KATIBU KAGAIGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA REPOA JIJINI...

KATIBU KAGAIGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA REPOA JIJINI DODOMA

0

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akimsikiliza Mshauri mwelekezi wa Taasisi ya Utafiti wa Kutokomeza Umasikini Tanzania (REPOA), Prof. Pascal Mihyo (kushoto) alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kutokomeza Umasikini Tanzania (REPOA), Prof. Donald Mmari

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akimsikiliza Mshauri mwelekezi wa Taasisi ya Utafiti wa Kutokomeza Umasikini Tanzania (REPOA), Prof. Pascal Mihyo (katikati) alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Wapili Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kutokomeza Umasikini Tanzania (REPOA), Prof. Donald Mmari, Kushoto ni Mratibu ofisi ya Katibu wa Bunge, Ndg. Emmanuel Mpanda na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa, ndg. Daniel Eliufoo

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kutokomeza Umasikini Tanzania (REPOA), Prof. Donald Mmari (katikati) pamoja na Mshauri mwelekezi wa REPOA, Prof. Pascal Mihyo walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.