Home Mchanganyiko BODI YA MIKOPO YATOA HUDUMA MAONESHO YA TCU VIWANJA VYA TCU

BODI YA MIKOPO YATOA HUDUMA MAONESHO YA TCU VIWANJA VYA TCU

0

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul-Razaq Badru (kushoto) akitoa ufafanuzi wa jambo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Leonard Akwilapo (katikati) wakati alipotembelea Banda la HESLB jana Jumatano (Septemba 2, 2020) katika maonesho ya 15 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jiijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) Prof. Charles Kihampa.

Mkurugenzi Msaidizi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Sarah Fihavango akitoa ufafanuzi kwa mmoja wa wateja aliyembetelea Banda la HESLB jana Jumatano (Septemba 2, 2020) katika maonesho ya 15 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jiijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Prof. William Anangisye kulia akizungumza na wakurugenzi wasaidizi wa HESLB (kushoto) Sarah Fihavango na Omega Ngole katika maonesho ya 15 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jiijini Dar es Salaam.

Afisa Mikopo Mwandamizi wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Saleko Mandara akitoa ufafanuzi kwa mmoja wa wateja aliyembetelea Banda la HESLB jana Jumatano (Septemba 2, 2020) katika maonesho ya 15 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jiijini Dar es Salaam.

Afisa Mikopo wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Goodluck Goda akitoa ufafanuzi kwa mmoja wa wateja aliyembetelea Banda la HESLB jana Jumatano (Septemba 2, 2020) katika
maonesho ya 15 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jiijini Dar es Salaam.

Afisa Mikopo wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Simba Mchunga akitoa ufafanuzi kwa mmoja wa wateja aliyembetelea Banda la HESLB jana Jumatano (Septemba 2, 2020) katika
maonesho ya 15 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jiijini Dar es Salaam.

(PICHA NA BODI YA MIKOPO- HESLB)