Home Siasa MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI...

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM JIJINI DODOMA

0

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli akipiga makofi pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya
Chama Cha Mapinduzi CCM wakati wakiimba Wimbo wa Chama kabla ya kuongoza Kikao
hicho cha Kamati Kuu jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi
CCM jijini Dodoma

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt. Ali
Mohamed Shein mara baada ya kutoka kwenye Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha
Mapinduzi CCM jijini Dodoma . PICHA NA IKULU