Home Mchanganyiko MKURUGENZI MTENDAJI WA BODI YA MIKOPO AKUTANA NA WATENDAJI WA NHIF

MKURUGENZI MTENDAJI WA BODI YA MIKOPO AKUTANA NA WATENDAJI WA NHIF

0

1 Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB)
Abdul-Razaq Badru (kulia) akizungumza na Watendaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akiwemo Mkurugenzi wa Huduma kwa Wanachama, Christopher Mapunda (katikati) na Meneja Masoko na Huduma kwa wateja, Hipoliti Lello (kulia) wakati walipofika kujitambulisha Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam 

 Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB)
Abdul-Razaq Badru (katikati) akizungumza na Watendaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akiwemo Mkurugenzi wa Huduma kwa Wanachama, Christopher Mapunda (katikati) na Meneja Masoko na Huduma kwa wateja, Hipoliti Lello wakati walipofika kujitambulisha Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam, Wa kwanza kulia ni Rais wa Shirikisho la Wanafunzi wa Elimu ya Juu (TAHLISO),