Home Siasa KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA (NEC) ZANZIBAR

KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA (NEC) ZANZIBAR

0
Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) ya Zanzibar wakiwa katika kikao cha siku moja ambacho kitajadili wagombea uwakilishi katika majimbo ya Zanziba,katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar leo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Makamo wa Rais wa Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Taifa Mama Samia Suluhu Hassan wakati wa kikao cha kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kinachojadili wagombea Uwakilishi wa CCM majimbo ya Zanzibar katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar leo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Sadala alipokuwa akimkaribisha Rais wa   Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein kuongoza  kikao cha kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kinachojadili wagombea Uwakilishi wa CCM majimbo ya Zanzibar katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar leo.
Rais wa   Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza  kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kinachojadili wagombea Uwakilishi wa CCM majimbo ya Zanzibar katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar .[Picha na Ikulu.]