Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi CP Liberatus Sabas
akipokelewa na Maafisa wa Jeshi la PolIsi Mkoani Songwe baada ya kuwasili
jana jioni kufuatia mauaji ya mmasai mmoja alieuliwa na wafuasi wa Chadema
juzi katika Ofisi ya Mtendaji Kata ya Mwaka Kati iliyopo Halmashauri ya Mji
wa Tunduma.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi CP Liberatus Sabas,
akiongea na Waandishi wa Habari njee ya Kituo cha Polisi Tunduma kabla ya
kwenda kukagua eneo yalipotokea mauaji ya mtu mmoja katika Halmashauri
ya Mji wa Tunduma kwenye Ofisi ya Mtendaji Kata ya Mwaka Kati. (Picha na
Jeshi la Polisi)
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi CP Liberatus Sabas wa
kwanza kulia akiwa na Kamanda wa Mkoa wa Songwe RPC George Kiando
pamoja na Maafisa wengine wamewasili katika Ofisi ya Mtendaji Kata ya
Mwaka Kati kwaajili ya ukaguzi na kuona eneo ambalo wafuasi wa Chadema
waliposaabisha mauaji ya mtu huyo. (Picha na Jeshi la Polisi)