Sehemu ya magari makubwa na madogo 130 yaliyotaifishwa baada ya kuhusika katika matukio mbalimbali  ya uhujumu yakiwa yamehifadhiwa katika  kituo cha mabasi cha zamani jijini Dodoma yaliyokaguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua magari makubwa na madogo 130 yaliyotaifishwa baada ya kuhusika katika matukio mbalimbali ya uhujumu yaliyohifadhiwa kituo cha mabasi cha zamani jijini Dodoma leo Jumanne Agosti 25,  2020

…………………………………………………………….