Home Siasa NEC YATANGAZA RATIBA YA UTEUZI WA NAFASI YA RAIS,WABUNGE,MADIWANI

NEC YATANGAZA RATIBA YA UTEUZI WA NAFASI YA RAIS,WABUNGE,MADIWANI

0

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa kwa umma juu ya uteuzi wa Wagombea wa Kiti cha Rais,Makamu wa Rais,Wabunge na Madiwani kujulikana kesho katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma.