Home Mchanganyiko ACP BWIRE AONGOZA MAZOEZI YA UTAYARI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

ACP BWIRE AONGOZA MAZOEZI YA UTAYARI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

0

Askari wa majeshi mbalimbali ya Ulinzi na Usama wa Mkoa wa Iringa wakiwa kwenye mazoezi ya utayari kuelekea katika Uchaguzi Mkuu. (Picha na Datus Mahendeka wa Jeshi la Polisi).Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Juma Bwire (kulia mwenye Kofia) akiwaongoza vikosi vya Ulinzi na Usalama katika mazoezi ya utayari kuelekea katika Uchaguzi Mkuu. (Picha na Datus Mahendeka wa Jeshi la Polisi).

******************************

Leo Kamanda wa Polisi mkoa wa Iringa ameongoza mazoezi ya utayari kwa vikosi vyote vya Ulinzi na Usalama. Lengo ni kujiweka tayari kwa uchaguzi Mkuu. Nimewatumia picha kadhaa.