Home Mchanganyiko MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU MAKATIBU WAKUU WATEMBELEA UJENZI WA IKULU CHAMWINO, DODOMA

MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU MAKATIBU WAKUU WATEMBELEA UJENZI WA IKULU CHAMWINO, DODOMA

0

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiteta jambo na
Mkurugenzi Mtendaji wa SUMA JKT, Brigedia Jenerali Rajabuy Mabele, ambao ni wakandarasi wa Jengo la Ofisi za Ikulu Chamwino mkoani Dodoma wakati wa ziara ya Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu wakuu wa wizara zote za serikali walipotembelea kujionea maendeleo ya ujenzi wa ofisi hizo za Rais leo Ijumaa Agosti 21, 2020

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akitoa maelekezo na nasaha kwa mkandarasi wa Jengo la Ofisi za Ikulu Chamwino mkoani Dodoma baada ya ziara ya Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu wakuu wa wizara zote za serikali walipotembelea kujionea maendeleo ya ujenzi
wa ofisi hizo za Rais leo Ijumaa Agosti 21, 2020

 

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwa na Makatibu
Wakuu na Naibu Makatibu wakuu wa wizara zote za serikali wakipata maelezo walipotembelea kujionea maendeleo ya ujenzi wa ofisi hizo za Rais leo Ijumaa Agosti 21, 2020

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwatembeza
Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu wakuu wa wizara zote za serikali alipowaalika kutembelea na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Ikulu Chamwino, Dodoma leo Ijumaa Agosti 21, 2020

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi afurahia kambo na
baadhi ya Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu wakuu alipowaalika kutembelea na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Ikulu Chamwino, Dodoma leo Ijumaa Agosti 21, 2020

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwaongoza Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu wakuu wa wizara zote za serikali kuweka udongo kwenye jiwe la msingi la ujenzi wa Ikulu Chamwino, Dodoma, alipowaalika kutembelea na kujionea maendeleo ya ujenzi wa ofisi hizo za Rais leo Ijumaa Agosti 21, 2020:

PICHA NA IKULU