Serge Gnabry (kulia) akipongezwa na wenzake baada ya kufunga mabao mawili dakika za 18 na 33 to kabla ya Robert Lewandowski (katikati) kufunga la tatu dakika ya 88 katika ushindi wa 3-0 wa Bayern Munch dhidi ya Olympique Lyon kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Jose Alvalade Jijini Lisbon, Ureno na sasa watakutana na Paris Saint-Germain katika fainali Jumapili PICHA ZAIDI SOMA HAPA
BAYERN MUNICH YAICHAPA 3-0 LYON NA KUTINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA SASA USO KWA USO NA PSG

