Home Siasa ZITTO ACHUKUWA FOMU KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIGOMA MJINI

ZITTO ACHUKUWA FOMU KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIGOMA MJINI

0

Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo na Kiongozi wa Chama hicho Ndg. Kabwe Zuberi Ruyagwa Zitto ‘Zitto Kabwe’ (kushoto), akipokea fomu za kugombea ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kutoka Kwa Msimamizi wa Uchaguzi Msaidizi wa Jimbo hilo, Ferdinand Firimbi jana mjini Kigoma.(Picha na Said Powa)