Home Mchanganyiko NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MALIASILI NA UTALII DKT. ALLAN KIJAZI AONGOZA...

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MALIASILI NA UTALII DKT. ALLAN KIJAZI AONGOZA KIKAO CHA MAKAMISHNA WOTE WA JESHI LA UHIFADHI TANZANIA

0
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Allan Kijazi akielezea jambo wakati wa kikao chake na Makamishna wa Uhifadhi nchini, kilichofanyika jijini Dodoma mwishoni mwa wiki. 
………………………………………………………..

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Allan Kijazi akiongoza kikao cha kujadili na kupitia Miundo ya Taasisi  ( organization structures ) ili kuendana na matakwa ya sheria iliyoanzisha Jeshi la Uhifadhi.

Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamishna wa Uhifadhi  wa Taasisi za Uhifadhi za Mamlaka ya Usimamizi wa  Wanyamapori Tanzania, Hifadhi za Taifa Tanzania, Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania.

Kikao hicho kimefanyika mwishoni mwa wiki jijini Dodoma. 

Attachments area