Home Mchanganyiko DK.SHEIN AKUTANA NA WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS UTUMISHI WA UMMA...

DK.SHEIN AKUTANA NA WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora    katika mkutano wa utekelezaji wa    mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais Balozi seif Ali Iddi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora    katika mkutano wa utekelezaji wa    mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar

Baadhi  ya Wakurugenzi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora  wakiwa   katika mkutano wa utekelezaji wa    mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora  wakiwa   katika mkutano wa utekelezaji wa    mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar

Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali Bi.Fatma Mohamed Said alipokuwa akichangia katika katika kikao utekelezaji wa  mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 cha Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora  kilichofanyika leo patika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,(kulia) Mshauri wa Rais Pemba Dk.Mauwa Abeid Daftari .[Picha na Ikulu.