Home Burudani MAMIA WAJITOKEZA UHURU KWENYE TAMASHA LA KUTAMBULISHA NYIMBO ZA CCM

MAMIA WAJITOKEZA UHURU KWENYE TAMASHA LA KUTAMBULISHA NYIMBO ZA CCM

0

********************************

NA EMMANUEL MBATILO

Mamia ya Wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamejitokeza kwenye tamasha maalum la Kutambulisha nyimbo za CCM katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam ambapo wasanii takribani 200 walishiriki hapo jana.

Katika tamasha hili pia tulishuhudia Rais Mhe.John Pombe Magufuli akipiga simu na kuongea na Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Humphrey Polepole na kupongeza tamasha hilo..