Home Burudani WAZIRI MWAKYEMBE APONGEZA UHIFADHI WA HISTORIA YA MAJIMAJI SONGEA

WAZIRI MWAKYEMBE APONGEZA UHIFADHI WA HISTORIA YA MAJIMAJI SONGEA

0

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe
akiangalia Baadhi ya kumbukumbu za Mashujaa waliouwawa wakati wa vita ya
Majimaji ya nwaka 1905 hadi mwaka 1907 ilivyokua na lengo la kuupinga ukoloni wa
kijerumani yaliopo Songea mkoani Ruvuma, ambapo amepongeza namna ambavyo
kumbukumbu hizo zimehifadhiwa na kuvutia utalii wa kiutamaduni pamoja na
uhifadhi wa mali kale mnamo Agosti 13,2020.