Home Michezo SIMBA SC YAMSAJILI BEKI KUTOKA GOR MAHIA

SIMBA SC YAMSAJILI BEKI KUTOKA GOR MAHIA

0

Kocha Msaidizi wa Simba SC, Suleiman Matola akimkabidhi nakala ya mkataba beki wa kimataifa wa Kenya, Joash Abong’o Onyango baada ya kusaini mkataba wa kujiunga na klabu hiyo kutoka Gor Mahia ya kwao