Home Mchanganyiko MKURUGENZI WA MASHTAKA AWAACHIA HURU MAHABUSU 80 MUGUMU-SERENGETI

MKURUGENZI WA MASHTAKA AWAACHIA HURU MAHABUSU 80 MUGUMU-SERENGETI

0

Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Biswalo Mganga akikagua gereza la Mugumu Wilayani, Serengeti (Kushoto kwake) ni Mkuu wa gereza la Mugumu SSP Michael B. Mafwele.

……………………………………………………………………………

Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Biswalo Mganga akikagua gereza la Mugumu Serengeti wakati wa ziara yake ya kutembelea gereza hilo  amewaachia huru mahabusu 80 ambao kati yao wanaume ni 65 na wanawake ni 15.