Home Mchanganyiko MAJALIWA ASALIMIANA NA WANANCHI WA MTAMA AKIWA NJIANI KWENDA RUANGWA

MAJALIWA ASALIMIANA NA WANANCHI WA MTAMA AKIWA NJIANI KWENDA RUANGWA

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana  na wananchi wa Mtama waliojitokeza kumlaki barabarani wakiongozwa na Mbunge aliyemaliza muda wake, Nape Nnauye, Agosti 13,2020.  Mheshimiwa Majaliwa alikuwa akitoka Dar es salaam kwenda Ruangwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)