Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA MAKAMU...

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR.

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, wakati wa kikao cha Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Ofisi hiyo, kwa mwaka wa fedha 2020/2021, kilichofanyika katika ukumbi
wa Ikulu Jijini Zanzibar 13/8/2020, (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kul;ia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Mohammed Aboud Mohammed.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza Kikao cha Utekelezaji wa Mpango Kazi  kwa mwaka 2020/2021  Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Ndh. Shaban Seif Mohammed, akiwasilisha Ripoti ya Utekelezaji Mpango Kazi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar kwa mwaka wa fedha 2020/2021, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.(Picha na Ikulu)WAKURUGENZI wa Idra za Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais
Zanzibar, wakifuatilia Ripoti ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021, wakati ikiwasilishwa na Katibu Mkuu  Ofisi ya Makamu wa
Pili wa Rais Zanzibar  Ndg. Shaban Seif Mohammed.(hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na IKulu)