Home Mchanganyiko DKT.SHEIN AMEKUTANA NA WIZARA YA UJENZI,MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI KATIKA KIKAO CHA UTEKELEZAJI...

DKT.SHEIN AMEKUTANA NA WIZARA YA UJENZI,MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI KATIKA KIKAO CHA UTEKELEZAJI WA MPANGO KAZI WA MWAKA 2020/2021

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji  katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,[Picha na Ikulu.] 13/08/2020. 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,mawasiliano na Usafirishaji Nd,Mustafa Aboud Jumbe (kulia) alipokuwa akisoma taarifa ya Mpango kazi wa Wizara hiyo kwa mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Makamo wa Pili wa Rais wa zanzibar Balozi Seif Ali Iddi .[Picha na Ikulu] 13/08/2020.  Mkurugenzi Mtendaji Wakala wa Karakana Kuu ya Magari Nd,Hussein Abdi  Hussein (kulia) akitoa Maelezo kuhusu Idara yake  katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021 cha Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ,[Picha na Ikulu.] 13/08/2020.   

Naibu Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Mohamed Ahmada Salum alipokuwa akichangia katika  Kikao cha Utekelezaji ya Mpango kazi wa Wizara hiyo kwa mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kulia) Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Sira Ubwa Mamboya.[picha na Ikulu].13/08/2020.