Home Mchanganyiko DK.SHEIN AMEKUTANA NA WIZARA YA KAZI,UWEZESHAJI,WAZEE,WANAWAKE NA WATOTO.

DK.SHEIN AMEKUTANA NA WIZARA YA KAZI,UWEZESHAJI,WAZEE,WANAWAKE NA WATOTO.

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 12/08/2020.Viongozi katika Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 12/08/2020.  Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto Maudline Cyrus Castico akiwasilisha taarifa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (hayupo pichani) pia akiwepo Naibu wa Wizara hiyo Mhe.Shadia Mohame Suleiman.[Picha na Ikulu] 12/08/2020.Viongozi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 12/08/2020.