Home Mchanganyiko SERIKALI YAVITAKA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI ZA MITAA,...

SERIKALI YAVITAKA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI ZA MITAA, VIJIJI KUDHIBITI USAFIRISHAJI HARAMU WA WATOTO CHINI YA MIAKA 18 NCHINI

0

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akizungumza na viongozi wa Serikali, Mashirika na Wadau wa Maendeleo katika Mkutano wa Kuadhimisha Siku ya Kupinga Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu Duniani, uliofanyika katika Hoteli ya Nashera, jijini Dodoma, leo. Ili kudhibiti biashara hiyo haramu nchini, Serikali imevitaka Vyombo vya Ulinzi na Usalama washirikiane na Serikali za Mitaa, Vijiji kudhibiti Usafirishaji wa Wasichana waliochini ya miaka 18, ambapo ili msichana aweze kusafiri sehemu mbalimbali nchini anatakiwa kupewa kibali cha Mzazi, Serikali ya Mtaa wake au Kijijini ili aweze kusafiri. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akimsikiliza Mratibu wa Mradi wa Shirika la Kiwohede, Lulu Makwale (kushoto) akitoa maelezo ya utekelezaji wa Mradi wa kupinga usafirishaji haramu wa watoto katika Maadhimisho ya Siku ya Kupinga Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu Duniani, uliofanyika katika Hoteli ya Nashera, jijini Dodoma, leo. Ili kudhibiti biashara hiyo haramu nchini, Serikali imevitaka Vyombo vya Ulinzi na Usalama washirikiane na Serikali za Mitaa, Vijiji kudhibiti Usafirishaji wa Wasichana waliochini ya miaka 18, ambapo ili msichana aweze kusafiri sehemu mbalimbali nchini anatakiwa kupewa kibali cha Mzazi, Serikali ya Mtaa wake au Kijijini ili aweze kusafiri. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio, Wapili kushoto ni Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Wahamaji (IOM), Qasim Sufi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Ramadhani Kailima, wakati alipokuwa anawasili Hoteli ya Nashera jijini Dodoma, leo, katika Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Kupinga Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu Duniani. Ili kudhibiti biashara hiyo haramu nchini, Serikali imevitaka Vyombo vya Ulinzi na Usalama washirikiane na Serikali za Mitaa, Vijiji kudhibiti Usafirishaji wa Wasichana waliochini ya miaka 18, ambapo ili msichana aweze kusafiri sehemu mbalimbali nchini anatakiwa kupewa kibali cha Mzazi, Serikali ya Mtaa wake au Kijijini ili aweze kusafiri. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (watatu kushoto), akimsikiliza Mwandishi wa Habari, Benjamin Mzinga, alipokuwa anawasilisha ripoti maalumu ya uchunguzi inayohusu Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu katika Maadhimisho ya Siku ya Kupinga Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu Duniani, iliyofanyika Hoteli ya Nashera, jijini Dodoma, leo. Ili kudhibiti biashara hiyo haramu nchini, Serikali imevitaka Vyombo vya Ulinzi na Usalama washirikiane na Serikali za Mitaa, Vijiji kudhibiti Usafirishaji wa Wasichana waliochini ya miaka 18, ambapo ili msichana aweze kusafiri sehemu mbalimbali nchini anatakiwa kupewa kibali cha Mzazi, Serikali ya Mtaa wake au Kijijini ili aweze kusafiri. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Serikali, Mashirika na Wadau wa Maendeleo katika Mkutano wa Kuadhimisha Siku ya Kupinga Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu Duniani, uliofanyika katika Hoteli ya Nashera, jijini Dodoma, leo. Watatu kushoto ni Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Wahamaji (IOM), Qasim Sufi, na wanne kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.