Home Siasa MGOMBEA URAIS ACHUKUA FOMU NA BAJAJI

MGOMBEA URAIS ACHUKUA FOMU NA BAJAJI

0

Mgombea wa Urais ,David Mwaijojele akiwasili na Bajaji katika  Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma kwa ajili ya kuchukua Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Kijamii (CCK) katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020.

Mgombea wa Urais ,David Mwaijojele akikabidhiwa Begi lenye Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Kijamii (CCK) katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma.

Mgombea wa Urais ,David Mwaijojele akionyesha  Begi lenye Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Kijamii (CCK) katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020  mara baada ya kuchukua Fomu hizo katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa  leo jijini Dodoma.

Mgombea wa Urais ,David Mwaijojele kupitia Chama Cha Kijamii (CCK) katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 akisaini Kitabu mara baada ya kuchukua Fomu hizo za Kugombea Urais katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa leo jijini Dodoma kulia ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dk. Wilson Mahera Charles