Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdul Yahya Mzee (katikati) alipokuwa akichangia katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 cha Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia).[Picha na Ikulu] 11/08/2020. Viongozi katika Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 11/08/2020. Maafisa katika Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 11/08/2020. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 11/08/2020.Katibu Mkuu wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Ndg,Omar Hassan Omar (KING) alipokuwa akisoma taarifa ya Mpango kazi wa Wizara hiyo kwa mwaka 2020/2021-katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji mpango kazi kwa kipindi cha 2020/2021- kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,(kulia) Naibu Katibu Mkuu Nd,Abdulhamil Bakari [Picha na Ikulu] 11/08/2020.
Viongozi katika Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 11/08/2020.