Home Michezo FEI TOTO AONGEZA MKATABA WA KUENDELEA KUICHEZEA YANGA SC

FEI TOTO AONGEZA MKATABA WA KUENDELEA KUICHEZEA YANGA SC

0

Kiungo Mzanzibar, Feisal Salum ‘Fei Toto’ akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC, Mhandisi Hersi Said baada ya kusaini mkataba wa kuendelea kuichezea klabu hiyo leo Jijini Dar es Salaam