Home Mchanganyiko MAADHIMISHO YA MIAKA 5 YA KITUO CHA BAREFOOT ZANZIBAR KINYASINI UNGUJA.

MAADHIMISHO YA MIAKA 5 YA KITUO CHA BAREFOOT ZANZIBAR KINYASINI UNGUJA.

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akifungua pazia kama ishara ya kulifungua Jengo la Dahalia la Kituo cha Wanawake cha Kufundishia Utengenezaji wa Vifaa vya Umeme wa Jua  katika sherehe za Maadhimisho ya kutimia Miaka 5 ya kuanzishwa kwa Kituo hicho cha Wanawake (BAREFOOT COLLEGE ZANZIBAR) katika hafla iliyofanyika leo Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja,(kulia) Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto Mhe.Maudline Cyrus Castico,[Picha na Ikulu].8/8/2020. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata Utepe kama ishara ya kulifungua Jengo la Dahalia la Kituo cha Wanawake cha Kufundishia Utengenezaji wa Vifaa vya Umeme wa Jua  katika sherehe za Maadhimisho ya kutimia Miaka 5 ya kuanzishwa kwa Kituo hicho cha Wanawake (BAREFOOT COLLEGE ZANZIBAR) katika hafla iliyofanyika leo Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja,(kulia) Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto Mhe.Maudline Cyrus Castico,[Picha na Ikulu].8/8/2020. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipokea ZAWADI maalum kutoka kwa  Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto Mhe.Maudline Cyrus Castico  katika sherehe za Maadhimisho ya kutimia Miaka 5 ya kuanzishwa kwa Kituo hicho cha Wanawake (BAREFOOT COLLEGE ZANZIBAR) katika hafla iliyofanyika leo Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja,(kulia)  ,[Picha na Ikulu].8/8/2020.  Balozi Mdogo wa India Mhe.Baaguans SIGH alipokuwa akitoa salamu zake  katika sherehe za Maadhimisho ya kutimia Miaka 5 ya kuanzishwa kwa Kituo hicho cha Wanawake (BAREFOOT COLLEGE ZANZIBAR) katika hafla iliyofanyika leo Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja,ambapo Mgeni rasmi alikuwa   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 8/8/2020. Baadhi ya Wananchi wa Vijiji  mbali mbali vya Wilaya ya Kaskazini “A”Mkoa wa Kaskazini Unguja wakiwa katika sherehe za Maadhimisho ya kutimia Miaka 5 ya kuanzishwa kwa Kituo hicho cha Wanawake (BAREFOOT COLLEGE ZANZIBAR) katika hafla iliyofanyika leo Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja,ambapo Mgeni rasmi alikuwa   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 8/8/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwapungia mkono wananchi wakati alipowasili katika sherehe za Maadhimisho ya kutimia Miaka 5 ya kuanzishwa kwa Kituo hicho cha Wanawake (BAREFOOT COLLEGE ZANZIBAR) ambacho kinatengeneza Vifaa vya Nishati ya Umeme wa Jua,katika hafla iliyofanyika leo Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja,(kulia) Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto Mhe.Maudline Cyrus Castico,[Picha na Ikulu].8/8/2020.