Home Mchanganyiko DKT. GWAJIMA ASHIRIKI KILELE CHA MAADHIMISHO YA NANE NANE NYAKABINDI MKOANI SIMIYU

DKT. GWAJIMA ASHIRIKI KILELE CHA MAADHIMISHO YA NANE NANE NYAKABINDI MKOANI SIMIYU

0

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Afya, Dkt. Dorothy Gwajima akionyeshwa lilipo banda la Ofisi ya Rais Tamisemi na Mratibu wawa banda hilo, leo katika kilele cha Maonesho ya Nane Nane viwanja vya Nyakabindi  Mkoani Simiyu.

Naibu Katibu Mkuu Ofis ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Afya, Dkt. Dorothy Gwajima akisaiini katika kitabu cha wageni alipotembelea banda la TAMISEMI leo katika kilele cha Maonesho ya Nane Nane viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu