Home Siasa MEMBE ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS WA TANZANIA

MEMBE ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS WA TANZANIA

0

Mgombea wa Urais ,Bernard Membe akikabidhiwa Begi lenye Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma.

Mgombea wa Urais ,Bernard Membe akionyesha  Begi lenye Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 pamoja na Mgombea Mwenza Prof. Omary Hamadi mara baada ya kuchukua Fomu hizo katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa  leo jijini Dodoma.

Mgombea wa Urais ,Bernard Membe kupitia chama cha ACT Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 akisaini Kitabu mara baada ya kuchukua Fomu hizo za Kugombea Urais katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa leo jijini Dodoma kulia ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dk. Wilson Mahera Charles