Katibu wa Itkadi na uenezi wa Chama Cha mapinduzi , Humphrey Polepole akisisitiza mambo mbalimbali wakati wa Mkutano na vyombo vya habari unaoendelea katika Ofisi ndogo za Chama hicho Lumumba jijini Dar es Salaam.