Home Mchanganyiko MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA ASHIRIKI KUAGA MWILI WA MZEE MKAPA

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA ASHIRIKI KUAGA MWILI WA MZEE MKAPA

0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Julai 28, 2020 ameshiriki kwenye Ratiba ya Viongozi Wakuu kuaga Mwili wa Marehemu Mzee Benjamin William Mkapa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Tanzania iliyofanyika Uwanja wa Taifa wa Mkapa Jijini Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)