Home Mchanganyiko MKAPA KUZIKWA KIJIJINI KWAO JULAI 29,2020

MKAPA KUZIKWA KIJIJINI KWAO JULAI 29,2020

0

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa amesema kuwa Mzee Benjamin William Mkapa atazikwa siku ya Jumatano Julai 29,2020 kijini kwao Luposa Wilayani Masasi mkoani Mtwara.

Mhe.Majaliwa amesema kuwa mwili wa Mzee Mkapa utaagwa siku tatu kuanzia tarehe 26 hadi 28 katika uwanja wa Taifa,wananchi watapata fursa kwa siku zote hizo tatu.