Home Mchanganyiko WANANCHI KATA YA KALOLENI ENEO LA TANKI LA MAJI WAZIOMBA MAMLAKA KUINGILIA...

WANANCHI KATA YA KALOLENI ENEO LA TANKI LA MAJI WAZIOMBA MAMLAKA KUINGILIA KATI UWEPO WA DANGURO ENEO HILO

0
Sehemu ya nyuma ya nyumba ambayo Inadaiwa na wananchi hao kuwepo kwa danguro la vijana wanaotumia madawa ya kulevya na kufanya vitendo vya Ngono na kusababisha uvunjifu wa amani na utulivu katika eneo la mita miambili Tanki la maji kata ya Kaloleni jijini Arusha kama lilivyokutwa na kamera ya matukio jijini Arusha 

 

Muonekano wa Nyumba hiyo ambayo wanaishi vijana kwa madai ni hosteli na kuitumia kama Danguro kama ilivyokutwa na kamera ya matukio jijini Arusha mapema leo