Home Siasa KOKA AIBUKA KIDEDEA JIMBO LA KIBAHA MJINI

KOKA AIBUKA KIDEDEA JIMBO LA KIBAHA MJINI

0

NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA

ZOEZI la kura za maoni Jimbo la Kibaha Mjini ambapo msimamizi alikuwa ni mkuu wa wilaya ya Mkuranga Filberto Sanga.
Katika zoezi hilo ,Silvestry Koka ameibuka mshindi kwa kupata kura 286,Habib Mchange kura 66 na watatu ni Alawi aliyepata kura 88 ,ambapo wapiga kura ni 523 ,wapiga kura halali 522,kura iliyoharibika ni moja ….¬†