Home Mchanganyiko MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA SOKO LA MBOGAMBOGA NA MATUNDA WILAYANI RUANGWA

MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA SOKO LA MBOGAMBOGA NA MATUNDA WILAYANI RUANGWA

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa soko la mbogamboga na matunda katika kijiji cha Namahema linalojengwa na serikali kwa ajili ya wakulima wadogowadogo wa bonde la  Mnindu wilayani Ruangwa, Julai 18, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Bibi Asumini  Milanzi (kulia) baada ya kukagua ujenzi wa soko la mbogamboga na matunda  katika kijiji cha Namahema linalojengwa na serikali  kwa ajili ya wakulima wadogowadogo wa bonde la  Mnindu wilayani Ruangwa, Julai 18, 2020.  Wa pili kushoto ni Mzee Abdallah Said na wa tatu kushoto ni  Mwanahamis Mohamed. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)