Home Siasa MWANDISHI WA HABARI DODOMA ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA SAME MAGHARIBI

MWANDISHI WA HABARI DODOMA ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA SAME MAGHARIBI

0

Mwanahabari Sharifa Marira ambaye amewahi kufanya kazi na vyombo vya habari vya Rai Tanzania na Jambo Leo amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Same Magharibi kupitia Chama cha Mapinduzi. Anayemkabidhi fomu hiyo ni Katibu wa CCM Wilaya ya Same, Victoria Mahembe.