Home Siasa MHADHIRI CHUO CHA CBE AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE DODOMA MJINI

MHADHIRI CHUO CHA CBE AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE DODOMA MJINI

0

Katibu Msaidizi CCM wilaya ya Dodoma Bw.Said Ngomboi akimkabidhi Mhadhiri chuo cha Elimu ya Biashara Dodoma ( CBE Dodoma) Bi.Veronica Kundy fomu ya Kuomba ridhaa ya CCM kuliwakilisha jimbo la Dodoma Mjini.

………………………………………………………………………………

Mhadhiri chuo cha Elimu ya Biashara Dodoma ( CBE Dodoma) Bi.Veronica Kundy leo tarehe 15 Julai, 2020 amechukua fomu katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Dodoma ya Kuomba ridhaa ya CCM kuliwakilisha jimbo la Dodoma Mjini.

Bi.Kundy amewasili katika Ofisi ya Wilaya ya Dodoma  ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na kukabidhiwa fomu ya kuomba ridhaa na Katibu Msaidizi CCM wilaya ya Dodoma Bw.Said Ngomboi  katika uchanguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba, 2020.