Home Mchanganyiko WAZIRI KABUDI ACHUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KILOSA

WAZIRI KABUDI ACHUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KILOSA

0

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano was Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi achukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Kilosa mkoani Morogoro kwa tiketi ya CCM leo.