Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Chamwino Bi.Everline Jordan, leo Jumanne Julai 14, amemkabidhi  Mwenyekiti Uvccm (Umoja wa Vijana Chama cha Mapinduzi Mkoa Dodoma) Bw.Billy Chidabwa  fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho ya kugombea ubunge wa Jimbo la Mtera. 

  Mwenyekiti Uvccm (Umoja wa Vijana Chama cha Mapinduzi Mkoa Dodoma) Bw.Billy Chidabwa akiwa na Mke wake (katikati) na kulia ni Mama yake Mzazi akionyesha  fomu yake mara baada ya kukabidhia kwa ajili ya kuomba ridhaa ya chama hicho ya kugombea ubunge wa Jimbo la Mtera. 

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Chamwino Bi.Everline Jordan,akitoa maelezo kwa  Mwenyekiti Uvccm (Umoja wa Vijana Chama cha Mapinduzi Mkoa Dodoma) Bw.Billy Chidabwa ambaye amechukua  fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho ya kugombea ubunge wa Jimbo la Mtera leo Jumanne 14,2020.

 Mwenyekiti Uvccm (Umoja wa Vijana Chama cha Mapinduzi Mkoa Dodoma) Bw.Billy Chidabwa akiwa na Familia yake ndani ya Ofisi ya Wilaya ya Chamwino alipofika kuchukua  fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho ya kugombea ubunge wa Jimbo la Mtera.