Mwanahabari Omary Mgaza amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa Udiwani wa Kata ya Mbwewe wilayani Chalinze, Pwani kupitia Chama cha Mapinduzi.