Home Siasa PROF.NDALICHAKO NAE NDANI,AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KASULU MJINI MKOANI KIGOMA

PROF.NDALICHAKO NAE NDANI,AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KASULU MJINI MKOANI KIGOMA

0

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako, leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho ya kugombea ubunge wa Jimbo la  Kasulu Mjini Mkoa wa Kigoma kupitia CCM