Home Mchanganyiko KADIO AONGOZA KIKAO CHA MENEJIMENTI KATIKA WIZARA YAKE KUPITISHA MPANGO WA UNUNUZI...

KADIO AONGOZA KIKAO CHA MENEJIMENTI KATIKA WIZARA YAKE KUPITISHA MPANGO WA UNUNUZI WA MWAKA 2020/2021

0

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio, akizungumza na Wakuu wa Idara, Vitengo na baadhi ya Maafisa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vilivyomo ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi (hawapo pichani) katika Kikao cha Menejimenti ya Wizara hiyo Kupitisha  Mpango wa Ununuzi wa Mwaka 2020/2021. Kikao hicho kilifanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa  Wizara hiyo Mtumba, Jijini Dodoma. Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi, Peter Bundala (Wa pili Kushoto) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wa kwanza Kulia) katika Kikao cha Menejimenti ya Wizara hiyo Kupitisha  Mpango wa Ununuzi wa Mwaka 2020/2021. Kikao hicho kilichoshirikisha Wakuu wa Idara, Vitengo na Maafisa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vilivyomo ndani ya Wizara hiyo kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa  Wizara hiyo Mtumba, Jijini Dodoma. Baadhi ya Wakuu wa Idara, Vitengo na Maafisa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio (hayupo Pichani) katika Kikao cha Menejimenti ya Wizara hiyo Kupitisha  Mpango wa Ununuzi wa Mwaka 2020/2021. Kikao hicho kilifanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa  Wizara hiyo Mtumba, Jijini Dodoma.

Baadhi ya Wakuu wa Idara, Vitengo na Maafisa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio (Meza Kuu) katika Kikao cha Menejimenti ya Wizara hiyo Kupitisha  Mpango wa Ununuzi wa Mwaka 2020/2021. Kikao hicho kilifanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa  Wizara hiyo Mtumba, Jijini Dodoma. Baadhi ya Wakuu wa Idara, Vitengo na Maafisa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio (hayupo Pichani) katika Kikao cha Menejimenti ya Wizara hiyo Kupitisha  Mpango wa Ununuzi wa Mwaka 2020/2021. Kikao hicho kilifanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa  Wizara hiyo Mtumba, Jijini Dodoma. Baadhi ya Wakuu wa Idara, Vitengo na Maafisa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio (hayupo Pichani) katika Kikao cha Menejimenti ya Wizara hiyo Kupitisha  Mpango wa Ununuzi wa Mwaka 2020/2021. Kikao hicho kilifanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa  Wizara hiyo Mtumba, Jijini Dodoma.

Baadhi ya Wakuu wa Idara, Vitengo na Maafisa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio (hayupo Pichani) katika Kikao cha Menejimenti ya Wizara hiyo Kupitisha  Mpango wa Ununuzi wa Mwaka 2020/2021. Kikao hicho kilifanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa  Wizara hiyo Mtumba, Jijini Dodoma.