Home Mchanganyiko TMDA YAJIKITA KATIKA KUTOA ELIMU MAONYESHO YA SABASABA.

TMDA YAJIKITA KATIKA KUTOA ELIMU MAONYESHO YA SABASABA.

0

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na vifaa tiba  (TMDA) Adam Fimbo akitoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda la TMDA kwenye Maonyesho ya 44 ya Biashara yajulikanayo kama Sabasaba. 

Bw. James Ndege akitoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda la TMDA katika maonesho ya Sabasaba yaliyoanza tarehe 1 Julai 2020. Maonesho hayo yanatarajiwa kumalizika tarehe 13 Julai 2020.

Meneja Mawasiliano na Elimu kwa Umma wa TMDA Gaudensia Simwanza akitoa elimu kwa wananchi waliofika kwenye banda la TMD kwenye Maonyesho ya 44 ya Biashara yajulikanayo kama Sabasaba. 

Ofisa Habari na Elimu kwa Umma wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba TMDA Bw. Sigifrid Mtey akitoa elimu katika banda lao kwenye Maonyesho ya Biashara ya 44 yajulikanayo kama Sabasaba.Watumishiwa TMDA wakipata picha ya pamoja katika maonesho ya Sabasaba yaliyoanza tarehe 1 Julai 2020. Maonesho hayo yanatarajiwa kumalizika tarehe 13 Julai 2020.