Home Mchanganyiko CAG Atembelea Maonesho ya 44 ya Biashara (DITF)

CAG Atembelea Maonesho ya 44 ya Biashara (DITF)

0

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabau za Serikali (CAG), Bw.Charles  Kichere akisaini kitabu cha wageni alipowasili katika Banda la Wizara ya Fedha kutembelea Taasisi mbalimbali zilizoko katika banda hilo katika  Maonesho ya 44 ya Biashara ya Dar es Salaam (SABASABA) yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl.Julius Nyerere barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabau za Serikali (CAG), Bw.Charles  Kichere( wa pili kulia) akifafanua jambo kwa Afisa kutoka Mfumo wa Malipo wa Serikali (GePG) alipotembelea banda hilo lililoko katika Banda la  Wizara ya Fedha na Mipango katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Dar es Salaam(SABASABA) yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl.Julius Nyerere barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.

Afisa Mipango kutoka Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana(CMSA), David Magabe akieleza jambo kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabau za Serikali (CAG), Bw.Charles  Kichere(mwenye kofia), alipotembelea banda hilo lililoko katika Banda la  Wizara ya Fedha na Mipango katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Dar es Salaam(SABASABA) yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl.Julius Nyerere barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabau za Serikali (CAG), Bw.Charles  Kichere(Kushoto), akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) alipotembelea banda hilo lililoko katika Banda la  Wizara ya Fedha na Mipango katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Dar es Salaam(SABASABA) yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl.Julius Nyerere barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabau za Serikali (CAG), Bw.Charles  Kichere(mwenye kofia), akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa wa Chuo cha Uhasibu Tanzania(TIA) alipotembelea banda hilo lililoko katika Banda la  Wizara ya Fedha na Mipango katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Dar es Salaam(SABASABA) yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl.Julius Nyerere barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabau za Serikali (CAG), Bw.Charles  Kichere(mwenye kofia), akiwaaga Maafisa kutoka  Chuo cha Uhasibu Tanzania(TIA) mara baada ya kutembelea banda hilo lililoko katika Banda la  Wizara ya Fedha na Mipango katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Dar es Salaam(SABASABA) yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl.Julius Nyerere barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabau za Serikali (CAG), Bw.Charles  Kichere  (kulia) akifurahia jambo na Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) alipotembelea banda hilo katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Dar es Salaam(SABASABA) yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl.Julius Nyerere barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabau za Serikali (CAG), Bw.Charles  Kichere (mwenye fulana ya Blue), akiwasikiliza wajasiriamali wanaodhaminiwa na Benki ya Biashara Tanzania (NBC) alipotembelea banda la benki hiyo katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Dar es Salaam(SABASABA) yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl.Julius Nyerere barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabau za Serikali (CAG), Bw.Charles  Kichere  (kulia) akisaini kitabu cha wageni katika banda ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (PSSSF) alipotembelea banda hilo katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Dar es Salaam(SABASABA) yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl.Julius Nyerere barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabau za Serikali (CAG), Bw.Charles  Kichere  (kulia aliyekaa) akijadili jambo na Maafisa kutoka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (PSSSF) alipotembelea banda hilo katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Dar es Salaam(SABASABA) yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl.Julius Nyerere barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabau za Serikali (CAG), Bw.Charles  Kichere  (kulia) akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Habari wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) alipotembelea banda hilo katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Dar es Salaam(SABASABA) yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl.Julius Nyerere barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabau za Serikali (CAG), Bw.Charles  Kichere  (kushoto mwenye kofia) akisikiliza maelezo kutoka kwa Maafisa wa Bodi ya Sukari Tanzania (SBT) alipotembelea banda hilo katika Maonesho ya 44 ya Biashara ya Dar es Salaam(SABASABA) yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl.Julius Nyerere barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.

Picha na Idara ya Habari-MAELEZO