Home Mchanganyiko MAJALIWA AMTEMBELEA MAMA MZAZI WA MHE. PINDA

MAJALIWA AMTEMBELEA MAMA MZAZI WA MHE. PINDA

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Bibi Albetina Kasanga ambaye ni Mama  Mzazi wa Waziri Mkuu, Mstaafu Mizengo Pinda  wakati alipomtembelea Bibi huyo nyumbani kwake katika kijiji cha Kibaoni Mkoani Katavi, Julai 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)