Home Siasa MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AANZA ZIARA YA KICHAMA KUSINI UNGUJA

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AANZA ZIARA YA KICHAMA KUSINI UNGUJA

0

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na baadhi ya Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ya Mkoa wa Kusini Unguja alipowasili katika ukumbi mdogo wa SUZA Tunguu leo Juni 30,2020. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Mkoa wa kusini Unguja.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ya Mkoa wa Kusini Unguja katika ukumbi mdogo wa SUZA Tunguu leo Juni 30,2020. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Mkoa wa kusini Unguja.

Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM MKoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akizungumza nao katika ukumbi mdogo wa SUZA Tunguu leo Juni 30,2020. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Mkoa wa kusini Unguja.                                                   (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)