Home Michezo MAN UNITED NA CHELSEA ,MAN CITY NA ARSENAL NUSU FAINALI FA

MAN UNITED NA CHELSEA ,MAN CITY NA ARSENAL NUSU FAINALI FA

0

Raheem Sterling akiifungia bao la pili Manchester City dakika ya 68 kufuatia Kevin De Bruyne kufunga la kwanza dakika ya 37 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Newcastle United 2-0 katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa St. James Park. Man City sasa itakutana na Arsenal iliyoitoa Sheffield United na Chelsea iliyoitoa Leicester City itakutana na Manchester United iliyoitoa Norwich City Julai 18 Uwanja wa Wembley Jijni London PICHA ZAIDI SOMA HAPA