Home Mchanganyiko MATUKIO KATIKA PICHA MAJARIBIO YA MV VICTORIA YAANZA LEO

MATUKIO KATIKA PICHA MAJARIBIO YA MV VICTORIA YAANZA LEO

0

Meli ya MV VICTORIA iliyokuwa ikifanyiwa ukarabati leo tarehe 28 June, 2020 imeanza majaribio baada ya zaidi ya miaka 5 ya kuharibika na kuacha kufanya kazi.

#MIAKA5YAKAZI