Home Mchanganyiko WAZIRI ZUNGU AKUTANA NA MENEJIMENTI YA NEMC NA WADAU WA MAZINGIRA

WAZIRI ZUNGU AKUTANA NA MENEJIMENTI YA NEMC NA WADAU WA MAZINGIRA

0

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa Azzan Zungu  akifafanua jambo wakati wa kikao na Menejimenti ya Baraza la Taifa la Uhifadhi na Mazingira (NEMC) pamoja na Wadau wa Mazingira kilichofanyika katika Ofisi za NEMC jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa Azzan Zungu  akiongea wakati wa kikao na Menejimenti ya Baraza la Taifa la Uhifadhi na Mazingira (NEMC) pamoja na Wadau wa Mazingira kilichofanyika katika Ofisi za NEMC jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Uhifadhi na Mazingira (NEMC) Dkt Samuel Gwamaka akitoa ufafanuzi wa jambo wakati wa kikao hiko.

Mdau wa Mazingira kutoka Mkoani Mbeya Bwana Ali Adon akionyesha nyaraka mbalimbali ambazo alihitaji kuzipatia ufafanuzi kuhusiana na biashara yake ya Kituo cha Mafuta kilichoko Mkoani Mbeya.

Mfanyabiashara kutoka Wellworth Company Bwana Zulfakir Ismail akichangia jambo wakati wa kikao hiko kilichoitishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa Azzan Zungu  kilichokutanisha Menejimenti ya NEMC na Wadau mbalimbali wa Mazingira.